KAKA BRIAN TV

  • Home
  • KAKA BRIAN TV

KAKA BRIAN TV Ukurasa huu unahusika na mambo yoyote yanayohusiana na habari, vipindi vya filamu pamoja n burudani

Uamuzi wa serikali wa kufungua shule una athari gani:a) Je, hatua za serikali zinatosha kulinda afya na usalama wa wanaf...
10/05/2024

Uamuzi wa serikali wa kufungua shule una athari gani:
a) Je, hatua za serikali zinatosha kulinda afya na usalama wa wanafunzi wakati wa kurejea shuleni?

b) Ni changamoto gani kuu zinazowakabili wanafunzi wakati wa kurejea shuleni, haswa kwa familia zilizohamishwa?

UKWELI MCHUNGUInastaajabisha binadamu kulithamini zaidi jeneza kuliko dawa. Ni kibarua kubwa sana kutoa michango kwa aji...
07/04/2024

UKWELI MCHUNGU

Inastaajabisha binadamu kulithamini zaidi jeneza kuliko dawa. Ni kibarua kubwa sana kutoa michango kwa ajili ya dawa zenye thamani ya shilingi 100, wakati jeneza lenye thamani ya shilingi 30,000 linaweza kununuliwa hata na mtu mmoja.

Nashanga inavyokuwa rahisi kwa mtu kumtembelea maiti mara kwa mara ila anapata ikiwa changamato kumuona mgonjwa hata mara moja tu.

Kweli, binadamu ni fukara sana kana kwamba hawezi kumudu dawa ya bei nafuu zaidi, bali ni tajiri wa kutosha kununua jeneza lenye gharama kubwa zaidi.

KAKA BRIAN
Mwanaziwa Mswahili

Je, zoezi la ziada wakati wa likizo fupi ni mzigo kwa mwanafunzi ama ni njia ya kuzuia uzembe?
02/03/2024

Je, zoezi la ziada wakati wa likizo fupi ni mzigo kwa mwanafunzi ama ni njia ya kuzuia uzembe?

23/02/2024
Wakati mwingine mwalimu anaweza kumpeleka mwanafunzi ofisini kwa kosa alilolifanya kwa ajili ya kumwadhibu. Kisha walimu...
17/02/2024

Wakati mwingine mwalimu anaweza kumpeleka mwanafunzi ofisini kwa kosa alilolifanya kwa ajili ya kumwadhibu. Kisha walimu wengine wachukue hatua ya kumuadhibu kwa makosa mengine ya siku tofauti tofauti hata kabla ya kuadhibiwa na mwalimu aliyemleta Je, ni ungwana?

Je, ni muhimu kujumuisha elimu ya haki za binadamu katika mtaala wa elimu nchini?
03/02/2024

Je, ni muhimu kujumuisha elimu ya haki za binadamu katika mtaala wa elimu nchini?

Jumamosi hii nitakuwa nikijadili kuhusu jukumu la mwalimu, mzazi pamoja na wizara ya elimu katika masomo ya mwanafunzi. ...
26/01/2024

Jumamosi hii nitakuwa nikijadili kuhusu jukumu la mwalimu, mzazi pamoja na wizara ya elimu katika masomo ya mwanafunzi.
Naomba maoni yako

Ungana nami kesho kuanzia majira ya saa mbili asubuhi hadi saa tano asubuhi.Swali la siku:Je, ni ungwana, wazazi kuwavam...
19/01/2024

Ungana nami kesho kuanzia majira ya saa mbili asubuhi hadi saa tano asubuhi.

Swali la siku:
Je, ni ungwana, wazazi kuwavamia walimu kutokana na matokeo duni ya mtihani?

Address


Alerts

Be the first to know and let us send you an email when KAKA BRIAN TV posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to KAKA BRIAN TV:

Shortcuts

  • Address
  • Alerts
  • Contact The Business
  • Claim ownership or report listing
  • Want your business to be the top-listed Media Company?

Share