Karimi ULE MMERU TV

Karimi ULE MMERU TV entertainment page karimi ule mmeru official page
(5)

The most excruciating pain you have ever felt is ...?
09/12/2024

The most excruciating pain you have ever felt is ...?

09/12/2024

Mwambacha was just chilling I just love our people ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…

09/12/2024

Mention and celebrate that person who has been there for you this year.....

How was your Sunday?
08/12/2024

How was your Sunday?

07/12/2024

My favorite. Mimi ni mukatheri blood โฃ๏ธ

Kujeni hapa Jekans MENS' Wear mni support niki wapigia hio story ya cleaning vizuri na zinginezooo๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜… Located at 696kin...
07/12/2024

Kujeni hapa Jekans MENS' Wear mni support niki wapigia hio story ya cleaning vizuri na zinginezooo๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…

Located at 696kindaruma mall kilimani call or WhatsApp them on +254748063599

2016 hapa nilikuwa najipaka make up k**a cabin crew ndio tufanane ata k**a nilikuwa cleaner ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜… guys msi nione hivi nik...
07/12/2024

2016 hapa nilikuwa najipaka make up k**a cabin crew ndio tufanane ata k**a nilikuwa cleaner ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜… guys msi nione hivi niko na certificate ya toilet cleaning nani anataka kufunzwa deep cleaning ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
Thank you to Emrill

Hizi picha unaona hapa zote ni zangu! Picha ya kwanza ni mimi 2017 nikiwa cleaner pale Abu dhabi airport ( Etihad crew b...
07/12/2024

Hizi picha unaona hapa zote ni zangu! Picha ya kwanza ni mimi 2017 nikiwa cleaner pale Abu dhabi airport ( Etihad crew briefing center) yaaani mtangazaji anaosha choo? Yes kazi ni kazi mtu wangu. Second picture ni mimi 2024 pale dubai k**a tourist with my family๐Ÿฅฐ nataka kusema hivi kazi ni kazi!! weka Mungu mbele๐Ÿ™ thina itรฌ Mรฌrรฌรฌ.

Some of us are Forced to celebrate the little things in life because we know where we've come from๐Ÿ’ฏ

06/12/2024

Yaaani marriage wewe. ๐Ÿ’”

06/12/2024

Muugeni?

05/12/2024

Global pay yenu inakubali kulipa Netflix? Ama kuna any other option ya kulipa?

05/12/2024

Men only: If she started acting like you, would you still be together? Ladies are following๐Ÿซก

Goat wives every morning preparing baba watoto ndio aende kazi.... ata vaa ya brown ama ya black leo๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜… Kujieni viatu h...
05/12/2024

Goat wives every morning preparing baba watoto ndio aende kazi.... ata vaa ya brown ama ya black leo๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…

Kujieni viatu hapa Jekans MENS' Wear located at 696kindaruma mall kilimani.

05/12/2024

Kwa nini leo posts is all about goat wives? Mbona mna hurumia goat wives hii syllabus inakimbia sana! Ndoa ni kuvumilia ๐Ÿ™„๐Ÿ™„

05/12/2024

Your best Wakili leo ako hapa Jekans MENS' Wear

Muthomi Thiankolu is one of the best wakili we have in meru county. No objection ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€

05/12/2024

Ambieni wazazi wakuwe macho zaidi kwanza pale sokoni๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…

05/12/2024

Wakora wa tender za shule ama hospitali wamefika kwenu?๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜… yaani wana kupigia simu wana jaribu kuonyesha wewe vile mnajuana. Funda we are not foolish as we look umbwaaa๐Ÿคฃ

Saaa hii tungekuwa gakoromone na mum akiwa ana bargain kimuguto na gi' shirt for Christmas๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€ alafu ana bargain mpaka u...
05/12/2024

Saaa hii tungekuwa gakoromone na mum akiwa ana bargain kimuguto na gi' shirt for Christmas๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€ alafu ana bargain mpaka unaskia ni k**a uta ambia huyo mzee kuja nikupee fare juu wueh meru mums can bargain ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜… whe Christmas was Christmas!

Niko hapa Jekans MENS' Wear 696kindaruma mall kilimani.

Address

Abu Dhabi

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Karimi ULE MMERU TV posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Karimi ULE MMERU TV:

Share

Category